
Me nko na concern ya kulipa back hio doo,,nki dial 84237# hainidirect kwa option ya kulipa na Mpesa . Since nichukue sijalipa hadi leo na niko kwa risk ya kuwa blacklisted. If naeza pewa paybill nilipe direct itakuwa poa. Nilituma email na kupigia customer care but sijapata reply
0
0
0