
Me sai natafuta dooh ya kuanza buzna flani ya kutengeneza kibao cha kukandia chapati ama unga wa ngano....hii bizna ni safi ila sai nasaka dooh tu.. bujet yangu ni elfu tatu ya kuanzia ikishakuwa ningependa kuiuza hapa pia kwa mesher na mtaa tu. Mimi ni mwalimu with TSC number buh sijaajiriwa na sina shule naeza tegemea...nategemea GOD tu. Ningependa sapot ya mesh wenzangu ju najua ni vijanaa ka mimi...au sio!!!
Love na peace ndio ni yangu
0
0
0