
Meet @[Kelvin Mbaluto] the #Designer.
Cheki stori ya @[Kelvin Mbaluto] vile alianza #Hustle ya ku-make ma-bags na hakua na capital lakini with time ametia bidii sana mpaka aka-get order ya ku-supply ma-bags South Africa. Very encouraging, watch hii vida na hucheki profile yake hapa MESH.
Unaeza chapia Kevo hapa kwa comments ako ready kujibu maswali na ku-help na advice.
#TukoNdaniMESH, #TukoSorted!
0
0
0