
Members wenzangu niaje! Mi naitwa @[Irene Otieno] na naamini hapa ndio nta-get help.
I want to start #Biz ya #Salon nahitaji #Advice on #Capital required na pia zile equipment's basic lazima nikue nazo nikianza.
Mtanijenga sana na advice zenu.
#GiveAdvice #GetAdvice #TukoMESH #TukoSorted
0
0
0