
Men in SHAVE UP group, tuongee kinyozi 🪒 Wewe huprefer zile souped-up kinyozis zenye unapigwa massage, unapakwa mafuta za olive 🫒 na deodorant, ama we ni team sabuni? 😂 Unapigwa na mkia ya ng’ombe, unalipa 30 bob yako safi, unatoka na cut ✂️ ingine mwenda 😂. Kwenye ukuta bado kuna magazine za Ludacris na Ja Rule zikikuangalia.

0
0
0