
MENTAL HEALTH DAY Mental health day inakaribia soon. Itakuwa 10th Oct, 2021. Youths tujifunze kuongea na kuspeak out. Usikubali life ikuskume kwa corner na ukubali. Tafuta someone and talk about it, especially hii time ya pandemic na curfews kuongezwa. Mark hiyo date kwa calendar tujengane pamoja kwa mental wellbeing
0
0
0