
Mercy ni business owner na amekua akichukua loans kulipa existing debts, leading to a borrowing cycle most of the time.
⚖️Biz yake iko fiti, but sometimes huwa tricky kulipa all her loan payments on time.
🤔Mercy anaweza do nini ku-manage loans zake poa?

0
0
0