#mesh challenge.. Achievement yangu ni kuwa niliweza kurudisha biz yangu tena baada kukosa doo za stock because of this corona pandemic.. Na niko happy atleast niliweza bado ku come up na story ya kuuza mask wholesale na retail na nikaweza kuhelp community baada ya kupunguza bei ya mask ...sahizi atleast wana buy na bei ya 5/- na wholesale 150 ikiwa pack...so sahizi nimeweza kujimanage atleast.. Shukran.
0
0
0