
#Mesh challenge business ideas Last I shared my business idea and how I applied it the msee akanitext about idea ya kuuza magazeti na drinks apo kwa buzina yangu leo nimwliase na cocacola wamenichapia kifridge kiao hapa na pia nimebonga na dealer wa magazeti monday ndakuwa nauza drinks na newspapers at my buzina thanks mesh family for the idea
0
0
0