Mesh imekua ikisaidia family zile zimekua ziki athirika hii time ya Covid19 kutoka ianze,so tuna sema thanks sana Mesh kwa hii job munafanya kwa Community ytu,God bless Mesh.