
MESH imenihelp vibaya sana kuendeleza biz yangu ya cyber. Kabla sijaanza sessions, nilikuwa naendesha cyber kawaida tu, bila direction ya maana. But MESH imenifungua akili sasa najua importance ya customer care, kumanage time na resources, na ata kumarket biz online. Nimejua pia how to create extra value kwa clients, kama kusaidia na job applications, CVs, na government services. Na hizo small things zimeleta difference kubwa customer base yangu imegro na returns zimeimprove. Kitu ingine fiti ni venye MESH inaleta watu pamoja wasee wa biz tofauti tofauti wanashare ideas na support. Inakua community ya real growth na motivation. Kama uko na biz ama unafikiria kuanzisha, usichelewe MESH ni step ya maana kwa hustle yako.
0
0
0