Mesh imenijenga kwa njia mob sana...kwanza imenipa business ideas Mon sana za kuhustle,mesh pia ilinijenga 3k wakati wa Covid ambayo ilinihelp kunisustain kimaisha coz kulikua kunoma. Pia nimepata clue vile msee anaeza ishi Kanairo kwa mshahara wa chini sana
0
0
0