
MESH imenijenga na business ideas, financial support na skills za Biz. Nimekua able kuget connected na MEShers wa nguvu pia kwa hii platform. Through MESH #Community nimelearn social skills za kuuza products na vile naovercome challenges na rejections. Hii imenisaidia kumake sells na at the end of the day profit. Thanks wakuu 🙌. #SisiNiMesh
0
0
0