
Mesh imenisaidia kujua market strategy na pia imenisaidia kumarget my biz... Imenipea platform ya kuadvertise myself na kusaidia other youths kujigrow na kuelewa maana ya self employment. Pia imenipea chance ya ku interact na fellow youths na kujua how to handle other people. Mesh imenipea chance ya kumentor other people in my community who are in the same field like mine....Kuwa on Mesh inakupea chances za kumeet different people around you na kujua different types of business zenye mayout wanaweza weka with minimum capital...

0
0
0