
MESH imetujenga ki-vipi? 🤔 Wasee wengi wame-come out ku-share na other Members in the Community vile tumeinuana.
Mi naitwa @[Daniel Jombe] kutoka #Eld. Manze sikujua ni rahisi kuanzisha #Biz na #Capital ya 1K. Thanks MESH kwa kutuchanua.👌
Cheki stori yangu kwa hii short video.👇👇👇 #MyStory in #50Secs
0
0
0