logo

Mesh Inasaidia watu wakuwe real: unaweka skill zako, unajitambulisha, unashow venye wasee wakupate.

Kwanza, respect kwa Mesh App – ni app imekuwa kama base ya ma-hustler, place ya kushare gigs, kupata msee wa kushika job, na kuspread info safi kwa youth.