MESH Konnect ya Leo imekua moto sana!! Nime learn tips kadhaa kuhusu Biz ya Salon. Fact ni, kila Biz iko na potential, especially kama uko na discipline.
Ume-learn nini kuhusu Biz Leo? #ShujaazBiz #BizLoans