Mesh
Mesh last year walileta Gig ya Loan ya Jiinuwe .Ilikuwa na good interest sana ,niliappply first time wakanipea 22k ,second time wakanipea 28k ,third 30k ...
Wangapi mliapply jiinuwe na inawapeleka aje?