
MESH ni baze ya kuokoleana. Hapa hivi tuna-sort each other. Solutions ni sisi tukonazo kwa hii community yetu. Ni sisi kwa sisi wasee. Kama ukona swali ,ungetaka kua connected to Clients ,Suppliers ama Mentor wote wamejaa hapa and we got each other covered. Twende tu-MESH!
0
0
0