
MESH ni Community ya ma-youth!
Na ju kila siku community yetu inazidi kugrow ningependa Sana ku-interact na wasee tujengane zaidi!
Dj B on the other side amecheza kama yeye na kuform upto 23 Mesh groups ambazo ziko classified into several hustles,hadi ma comrades wakona platform yao!!How cool is that? Don't be left out Join 4-5 group u-get ideas za biz unafanya.
Kaweekend kawanice !
#SisiNiMesh #Tujijenge
0
0
0