
Mesh ni place poa na inasaidia watu. Sasa wewe uko hapa you have taken a loan and you're refusing to pay, don't you see that unanyima watu wengine opportunity pia, why take advantage of a good heart to play around. You can ask for a period of time to pay your loan. Tuko hapa kujengana na kujengwa na wewe uko hapa kuharibu. If you pay 15-20ksh daily utamaliza and let others also get the chance to get the loan
0
0
0