
Mesh, So far I'm renting a house in town but I'm doing some small farming,I have a ka small space where nimeweka sungura 3,na kuku 7. I'm planning kuongeza ka goat opportunity ya job ikipatkana,by the time mkidi wanting atakua anajoin secondary,staki awe na stress ya vitu moja mbili. Pia aka ka piece mi hupanda mboga n sai navuna malenge(pumpkins) no na stock ya karibu 8pcs,n still zinaweka hata kwa hi jua,bado pia nimepanda zingine namwagia maji so that nikitoa izo mzee hizi zitakua zimekua. Kuongezea TU bado nko na njiwa tho moja ilipotea,
So this year challenge yangu ni kufuga mbuzi wa Maziwa. Na inawezekana🙏 #KujiMesh #Polepole
0
0
0