
MESHachievement Meshers.... April imekua mwezi poa, siwezi complain. Since watoi walikua wanashukwa mastyles, braids za watoi nishukisha bei from 65 to 60 na ikakuwa ukibuy uzi ya mtoi, unapata beads 10 saree. Hii iliongeza sales upande ya beauty shop. Upande ya mabuyu, niliongeza za pilipili na pia icepop nikaanza kuuza, hizi ziliatract watoi Sana na pia watu wazima. Kama kawaa, usiegemee biz moja sana, tafta kitu zisaidiani. Sasa ordeni kaimati, Bhajias na samosas 😀😀 0722874105
0
0
0