#MESHachievement - vile mnajua mi ni coach wa futa. Last month ni-chapa collabo na South B Club nikapata deal ya ku-coach kids nikapata 10K...#Morale jo!