
š„ MESHBizTalkChallenge š
ā© This week tuko na form interesting sana: Isaac ni MESHer wa nguvu na ako na Biz ya wholesale Kayole šŖšæ From his experience, anatuchapia TOP 3 TIPS za kutambua customers wake! Hizi ni tips za Izo š Unaeza ongeza tips gani from your experience? š¤
Share na Community tip yako, the top 3 best commented watajengwa na token ya Ksh 3000 ku-boost biz zao šø Kumbuka, the more detailed you are na tip yako, the higher your chances! šÆ Leggo!
#MESHBizTalkChallenge
For more tips pia, unaeza cheki hii link: https://mesh.life/app/bizvi...

0
0
0