
#MESHchallege #hustle I do online hustle and i really appreciate this week juu nime achieve wsee kadhaa through mesh *Challenges zangu ni kama sa ku convience msee ajoin kitu hajui na hajui kama ni scum *Kitu ingine ni ku maintain trust ya wasee wenye hawajaanza ku earn wa iii kwanza ni ngori sana 🤦 *Kitu ingine niku convience msee asi quit ju mtu akijoin huwa earn kitu kidogo mpaka ufike iyo level ingine waa
Ii job imenifunza 'patience pays'
0
0
0