
#MESHchallenge
Achievement; 'STARTING A BUSINESS'
So nimekua na idea ya kuanzisha busy ya kuuza Coastal snacks na kuna venye kugather doo during hii period ya Covid-19 pandemic imekua ngori sana. Like sai kila mtu pesa hana... So next🤔... I approached several people and pitched my idea and soon naenda kufungua hii hustle.
0
0
0