
#MESHchallenge
Achievement yangu hii week inaisha, imekuwa discipline in: RECORD KEEPING.
The story behind it imekuwa inspiration kadhaa nilipata hapa mesh kwa zile study unit za videos za ShujaazBiz.
Challenge yenye nimekuwa nayo imekuwa procrastination. I will spend doh ya hustle then time ya kulipa bills za biz siwezi account place nimetumia hio doo. So through record keeping naweza saa hizi track performance ya biz areas i need to improve and kuspend wisely.
0
0
0