
#meshchallenge Achievement yangu Last week ni ati nmeweza ku introduçe something New kwa biz yangu,hii time ya covid imekua challenging sana imebidi ni improvise..Mi uuza maclady za maboi lakini juu maclady zilikua zinamove slow kuna doh nlikua nmesave zingine nkakopa kwa chama yakina mathe nikaamua kurisk nkachukua balé ya duvets,nko sure sales za duvets ztaniwezesha kuongeza stock yangu ya maclady na duvets zingine pia..Vile sales zangu zilikua down í was going through alot,inafaa usupport mum,2nd born Bro na 3rd born pia kuna 4th born ako ocha na shosh anamalizia fourth na Uezi sema akuna,ilibidi nmetafta Source ya income ingine juu most of the time nlikua najipata nmetumia doh ya biz ju família iwezi
0
0
0