
#MESHchallenge Advice za wase hapa hivi mesh zilinijenga. April niliuliza vile naeza promote hustle yangu na niongezee wateja, wase hapa hivi wakanisho nitumie social media na bidhaa zimekua zikinununlia Ata this month nadai kuanzisha delivery 🚚 services #MESHAchievements
0
0
0