#MESHchallenge Despite the pandemic kama gym instructor nimemanage kuhelp madem walose weight na kukeep fit. Kwa maboy nao wameacha kuidle mtaani
Challenges ni covid inaturestrict na time plus numbers