
🆕 #MESHChallenge is back!! 🚀 Tuchapie; Kama mse wa Biz, unafaa ku-consider nini kabla uchukue loan? 🤔 Share na Community advice yako na the top 3 best commented watajengwa na token ya Ksh 3000 ku-boost biz zao 😃
Kumbuka, the more detailed you are, the higher your chances!! 😎...leggo!! 💯 #BizLoans

0
0
0