#meshchallenge #meshchallenge shujaaz family....hii ndo hustle mm hufanya..mm huuza manguo za mtumba ...I thank God Kwa hii far hii ni shop ya pili..nafanya hapa naivasha soko...am open kusaidia any youth anaeza penda kujiexpand via hii business..na pia naeza penda kujia ways naeza grow tugrowishane...nauza Kila kitu ya men na ladies For numbers kindly inbox..mblessiwe Sana
0
0
0