#MESHchallenge Mi biz imekua poa lakini nilisoma article flani juu ya Biz expansion Mi nikachukua loan ya 10K bila proper plan. Hio pesa nilibuy dead stock ambayo hai-move lakini najaribu tu mungu atasaidia
0