#MESHchallenge Mi nilitransfer dooh nikilipa stock ikaenda kwa msee tofauti then account yake ilikua na Fuliza hio dooh yote ikaenda. Nilikwama mpaka shop yangu ikafungwa manze. Ilibidi nikakopa kwa sacco.
0