
#meshchallenge nafeel relieved kiasi nimeweza kuongeza stock My achievement Ni ati niliweza kuongeza stock na macustomers Kenye iliniboost Ni pesa zinazotoka kwa kuuza mayai ya kuku zangu Challenge yangu ni ati hii rainy season customers walipungua but niliovercome kwa kuplace orders
0
0
0