
#MeshChallenge Niaje wazito wa mesh community? Hope kila mmoja wetu ako fity sana. My name ni Peter musyoki.kwanza nigependa kushukuru wote naliokuja na hii idea ya kutuleta kuwa kama community ya mesh. Ni furaha kwangu kushare achievement zangu katka utendakazi wangu especially kuhustle kwangu ni last few weeks ago.
Kama member wa mesh ni nikifanya bizina ya kuuza simu na vitu zngne za electronics nimekuwa niki achievement bizna angu through various ways.
In last 12 months kazi ilienda chini kwa kuuza simu kwa wateja wangu.kitambo before corona iigie Kenya nikikuwa nuaza simu za zaidi ya kumi kwa wiki lakn baada ya corona kuingia ikawa siezi uza simu mbili kwa wiki.
Kupitia mesh community nikapata connection na msae mwingine akanipa advice poa
Kwa mawaidha yake ,na marafiki wengine wa mesh nikaweka target ya kuuza simu kumi kwa wiki .
Ili niachieve my target ya kuuza simu kumi kwa wiki ilinipindi niaze promotion on daily basis.Nikatafuta Dj rafiki agu wa mtaa ambaye alikuwa jobless for long time aniadvertisie my products.pia nikatafuta madancers wangu wa kila siku kama mapromoters . Baada ya kuanza hii promotion katka mtaa nika create awearness kwa kila customer wangu .
Dj na mapromoters wangu wakanizaidia sana Nikawa naeza uza zaidi ya simu kumi na tano kwa wiki. Hapo ndipo nilijua kweli advice ya yule msae wa mesh imework mbaya sana.
Though niliachieve my target ya simu na nikapita my target nilijifunza mambo memgi zaidi. Moja ikiwa unaeza tumia idea ya mtu mwingine ambaye amjuani na ikuzaidie venye mm nlizaidiwa na msae wa mesh ambaye cjawai muona kwa macho. Ya pili umoja n nguvu kama si DJ na mapromoters wangu sigeachieve hio target ya simu kwa wiki.
Nikiwa nimeachieve hustle agu nimepitia challenge kadhaa.
- Kupata stock kwa bei ya juu V.AT ikiwa imepanda zaidi ya 5% 2.kuangiza systems za promotion maana ckuwa nazo Pia Dj na mapromoters ikawapidi tushare profit yenye nilipata nawao kwa jumla. 3.promoters wengi walikuwa wanakosa most of the time because ilikuwa na kazi ya hustle kwa mfano wakipata mahali pengne poa walikuwa wanaenda kuhustle huko.
Kwa ushauri wa wanamesh nilichukuwa loan kiac yenye ilinifinance kuhit my achievement. Mpaka saa nko bado kumaliza kulipa.. Lakn nigepata doo kiac naeza jiinua na kuakikisha vijana kama DJ na my promoters tumefanya kitu poa mpaka wakuwe wananikumbuka maisha. Kupitia kwa community ya mesh nigeomba tuwe na more connections hapa tuzaidiana zaidi.
Kwa upande wa achievement zangu . Through daily promotion kutoka kwa dj na mapromoters wangu nimeweza kuget suggestions box from one of my royal customers mwenye nlimattende last week. At least service with a smile kwa customers wangu niona imeimprove zaidi ya my target yenye nlikuwa nmeweka lastly.