
#MESHchallenge
Nilianza form ya kufuga kuku zikagrow poa then twingine tukadedi juu ya ugonjwa na kuto kutumia vaccines then twenye tulisurvive nikafanya #mistake ya kukula every weekend...siku ya soko kufika unaona waaah #kimeumana...koz doh niliget ilkua less sana,hiyo mistake ya kukula every week nikasare sai nakula every month
0
0
0