#Meshchallenge Nilibuy bike second hand niweze ku hustle, ikakuwa na shida ya wiring, nilitafuta wiring mpya hadi kwa kampuni sijawahi pata, sasa nmeiweka kwa nyumba tu.