
#MESHchallenge Nlianza biz ya cyber though kuna challenge ya covid-19 biz haijakuwa consistent..last week nli buy a new laminator despite challenge ya pesa... The story behind this achievement ni aty I sacrificed a lot to save as I have learnt from Mesh. Challenges zimekuwa kibao , for instance pesa kupatikana imekuwa ngumu due to reduced no. Of customers , then my area imekuwa na frequent blackouts, but all in all nli overcome hii challenge kwa kukuwa na consistent saving routine na ku hire generator during blackout periods
0
0
0