
#MESHchallenge, since hii pandemic ikuje, life imekuwatough sana. Nilifunga cyber cafe yangu juu customers walireduce sana so singeeza pata pesa fity ya kuimaintain. Lakini niligundua naeza fanya hiyo job yangu ya cyber online, so niushare services mi hupeana hapa #mesh na peana number yangu ya simu na email address. Wasee hunivutia wakitaka services any. Thanks sana mesh kwa kunipea platform naeza advert hustle yangu. Ukidai service any nivutie 0746725776 #MESHchallenge #hustleyangu #tujengane
0
0
0