#MESHchallenge Through mesh, last month nilirealise msee hahitaji pesa mob kuanza biz. Niliget 3k nikamange kuanza hustle ya smokie na mayai Kila kitu inaendelea fiti na ninahope nitaopen kibada