#MeshChallengeConnectHustle.Ni idea poa sana tu chukue hii opportunity ku make biashara zetu kugrow to the next level.by taking most talented na wenye wako na skills na experience's kwa sector tofaut za hustles zetu zitatu enable ku learn from failures and success za watu wengine `(competitors)'. hii ndio one rule ya biashara zetu kugrow to the next level lets take this opportunity and challenge vipoa . Ama munaonaje wadau wenzangu ????
0
0
0