
#MESHchallengeMimi huwa intirior designer so hii kazi nimepost hapa chini ni achievement yangu deadly, hii covid-19 ili affect kazi ikarudi chini sana sikuwa na clients as earlier i used, kazi chini nilipo post hustle yangu mesh community nili kuwa connected na client ambaye nilimu undia hii gypsum tv stand nika generate income ambayo imenisaidia kwa hii pendamic.THANK YOU MESH.

0
0
0