
#MeshChalllenge. As an academic writer, the greatest achievement you can make is getting a direct client. Direct client ni student anakupea assignment zake unamfanyia na anakulipa directly, no middle men involved. Middle men hushinda wamechukua cut yao, unabaki na pesa kidogo, yet ni wewe umefanya kazi yote. Challenge kubwa sana huwa kupata direct contact ya client. Ukishapata contact, ata kama ni moja, unafungua njia to more contacts. Ukifanya kazi nzuri, client ataleta marafiki zake pia uwashughulikie. I'm glad I found one, although it wasn't easy... Na job ya kwanza nisha complete successfully hadi akanilipa a few hours ago as you can see. Now that hakuna middle men involved hapa, I can't wait for future projects and more links. Thank you for the opportunity to share😇.