
π MESHer Of The Week: Allan Rastaman.
πͺNiaje wasee! #MESHerOfTheWeek anaitwa Allan Rastaman.
Ni Barber mnoma sana. Ako na kinyozi area ya Donholm, Nairobi.
π£οΈAnasema, "Let your hair do the talking!"
πFor fresh and crisp clean haircuts. Mchapie hapa MESH!

0
0
0