
π MESHer Of The Week Feature.
π€ Uko na biz au hustle na ungependa kuwa featured on MESH?
1.Take clear photo yako ukipiga hustle au ukiwa kwa biz. 2. Share jina na age yako. 3. Biz/hustle una-do na favorite motto yako. 4. Make sure uko na account on MESH na profile yako umefill in details zote.
πTutapick the best, na zitakua featured on Fridays! Share details chap chap on WhatsApp 0114799684.

0
0
0