
đŸ’¥MESHer's, si once again tuchape challenge?
Hii wiki tunadunga challenge ya #MESHsolutions. Kwa hii Community tuko na the best young creative brainsđŸ§ . Tukichapa #Hustle lazima tume-come through challenges na kuna vile tuli-overcome.
Kama kawaida POST photo iki-show ile activity ulikua una-do ndio hu-face hio challenge na ukianza na hashtag #MESHsolutions briefly highlight to the Community zile solutions uli-apply ku-overcome hio challenge. Twende kazi we have mpaka Sato 24th Apr 5pmđŸ•” ku post challenge na solutions zetu.
For the 3 most Liked/Commented challenges, hao members wata-get opportunity ya kuji-market by being featured on MESH #AskMeAnything section.
0
0
0