Mesher wenye wako kwa Pub/Bar/wines & spirits biz, lately kumekuwa na so many restriction, how are you guys working around this na biz iko aje sa hizi?