
#Mesherchallage kwa mwaka wa 2020 nmekua nikifanya kazi ya kuelimisha community yangu about Covid19,kujua tunaeza fanya nni kama ssi community ndio tuzuie hii Covid19, nilitafuta dram ya 50ltr ya maji nikaekasha tap kwa fundi,Nika tafuta meza,nikaeka hio dram maji ndio wase wa anze kuosha mkono hapo,na pia kuwa elimisha about social distance, na Kuna shule kama mbili hio place na soko ,so ni place ilikua inaitaji wase waoshe mkono,mpaka waleo wase wa community yangu huu osha mkono hapo,so community walichukukua hio mufano na wakaeka places mob za kuisha mkono.
0
0
0